Monday, November 9, 2009

tigo imekuwa na tigo imepanuka

tigo ni mtandao pekee nchini tanzania ambao una service za uhakika na unaobamba kivile makubmw wazee kwa watoto . hili siyo masihara ni kweli tigo imekuwa na tigo imepanuka. kuongea kwa shillingi moja hata mtoto anmudu nahiyo bado, xtreme mwanzo mwisho. du tigo tigo tigo